BAN KIMOON
Member
- Aug 28, 2014
- 7
- 1
Zikiwa zimebaki takribani siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu BAVICHA, joto la uchaguzi limewapanda wengi wa wagombea na wapambe wao. Katika viunga vya mtaa wa Ufipa na maeneo mengi nchini, mjadala ni juu ya mgombea tishio katika nafasi ya Mwenyekiti ambaye ni ndugu Daniel Naftali, wengine wamefikia hatua ya kumuita "Bwana-ushindi" na wengine wanaonekana kama "wasindikizaji". Leo nadondosha sehemu ndogo ya hoja zangu tele kwanini namuunga mkono:
Kwanza, anaifahamu vilivyo BAVICHA ukimlinganisha na washindani wake.Anajua BAVICHA imetoka wapi, iko wapi na inahitaji nini kusonga mbele.
Pili, anakidhi mahitaji ya sasa ya kukipa chama mwenekano wa kutanuka zaidi kimaeneo.
Tatu, si muumini wa siasa za visasi. Hatafuti Uenyekiti wa BAVICHA kama rungu la kuwagonga washindani wake wa ndani kisiasa, Wazungu wanasema "Hammering from the top".
Nne, tayari amekuwa tested na chama na hana historia ya usaliti.
Tano, ni mzoefu kwenye siasa na uongozi. Si mshamba wa siasa za kitaifa kama wengi wa washindani wake.
Sita, ana maono mapana kwa baraza na chama.
Nitaendele...............................................