Uchaguzi Arumeru na kampeni za wagombea

Uchaguzi Arumeru na kampeni za wagombea

Joined
Mar 25, 2012
Posts
5
Reaction score
1
wakazi wa arumeru na watanzania wote kwa ujumla ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo mimi kwa mtazamo wangu kampeni zimekuwa za kutangaza mambo ya kufikirika tu kwani mimi sielewi kwanini hivi wanavyovisema sasa wasiviseme kabla ya kutokea kwa chaguzi. AMKENI...........
 
Back
Top Bottom