Labda watashinda njaaCHADEMA itashinda kwani wananchi kwa kweli wamechoshwa na yanayoendelea sasa, hali ya uchumi imekuwa ngumu sana.
Mahakama kuu imepitisha juzi tu kwamba sasa matokeo yanaweza kupingwa mahakamani siyo?kwa tume ipi? na matokeo hayapingwi mahakamani
Hivi mtu kama Lissu anaweza kukosoa swala la serikali kuhamia dodoma? wagogo na wanyiramba watamuelewa?Hayo yote Magu na Ccm yake waliyahubiri 2015,lakini hakuna alipofikia lengo,mambo ni mbofumbofu,Utasema usalama na amani,hakuna kitu zaidi yakutishana nakupeana taharuki.
Labda mi Ndenge ya cash money zilizotoka bila utaratibu tuliozoea
Hilo LA Dodoma ni wazo tangu enzi za Nyerere,yawezekana kama Magu asingelifanya labda Rais ajaye Ndugu Lissu angelitimilizaHivi mtu kama Lissu anaweza kukosoa swala la serikali kuhamia dodoma? wagogo na wanyiramba watamuelewa?
Kama mimi ningekuwa Rais ajaye wazo hilo ningelitupilia mbali kabisa, badala yake ingetumia robo ya hela ya kuhamia dodoma kujenga na kuboresha mifumo ya mawasiliano ya habari, tehama, usafiri na usafishaji ili watu waweze kuhudumiwa hukohuko waliko bila kulazimika kusafiri kwenda makao makuu ya wizara. Na kama ulazima upo basi wangetumia train za mwendo kasi, ndege na barabara za lami nchi nzima. Kama serikali yote iko sehemu moja itakuwaje wakati wa milipo ya magonjwa kama covid 19?Hilo LA Dodoma ni wazo tangu enzi za Nyerere,yawezekana kama Magu asingelifanya labda Rais ajaye Ndugu Lissu angelitimiliza
Ni ngumu kweli kweli hasa kwa watui ambao ni wavivu hawajishughulishi. Lakini wewe unasema hapa hali ngumu lakini jirani yako anainuka na kujishughulisha anatoba. We unabaki kusema hali ngumu. TUCHAPE KAZI WATANZANIA.CHADEMA itashinda kwani wananchi kwa kweli wamechoshwa na yanayoendelea sasa, hali ya uchumi imekuwa ngumu sana.
Hakika nimependa sana andiko lako hili. Wanasiasa wasitusukume katika matakwa yao wao lakini sisi Watanzania tuwe na malengo fulani, tujue mtu anaetakiwa kutuongoza awe na maoni fulani kwa maendeleo ya taifa letu sio kila kukicha vurugu.Kila kitu kinachosemwa na kufanywa na wanasiasa katika kipindi hiki Cha uchaguzi faida na hasara itakwenda kwa wananchi wa kawaida, hivyo wanasiasa tuchunge ndimi zenu na vitendo vyenu kwenye majukwaa.
Kwa vyovyote vile sisi wananchi tunapenda kusikia wagombea wakisema namna watakavyotupatia haya kama tukiwachagua:
1. Usalama na amani
2. Maji ya kunywa na umwagiliaji.
3. Afya kwa wote
4. Elimu kwa wote
5. Chakula kwa wote
6. Umeme kwa wote
7. Uchumi wa majumbani sio wa takwimu
8. Miundombinu ya Usafiri na usafirishaji
9. Utawala wa sheria
10. Utengamano na nchi jirani na kimataifa.
11. Uboreshaji wa Michezo na Sanaa.
12. Utunzaji wa mazingira na ukuzaji wa utalii
Wananchi tungependa kuwasikia mnasema Nini kuhusu mtakavyotupatia vitu hivyo kwa njia bora zitakazozingatia utu wetu, uhai wetu, mila zetu, utamaduni wetu, Uhuru wetu, muungano wetu, na demokrasia yetu bila kuwasahau nchi majirani.
Hatuhitaji kusikia Sera za kutaja na kulaumu watu, vyama, na taasisi mbalimbali.
Mwanasiasa atakaefanya siasa za maji taka bila shaka atashindwa uchaguzi kabla ya uchaguzi haujafanyika
Sisi Tunataka kushughulika kwa faida siyo hasara.ngumu kweli kweli hasa kwa watui ambao ni wavivu hawajishughulishi. Lakini wewe unasema hapa hali ngumu lakini jirani yako anainuka na kujishughulisha anatoba. W
Mkopo wenye riba ya 20% utatoboa vipi? ndio maana wanaotoboa wengi wanakwepa kodi ya TRA. Pamoja na riba kubwa pia umudu matumizi ya nyumbani, matibabu, pango, umeme, maji, elimu za watoto, wazazi na tegemezi, rambirambi, usafiri, michango ya kijamii, nk. huyo mtu atatoboa kivipi? Watu wengi wanatoboa kwa kukwepa kodi, kunyima familia mahitaji ya lazima, kutowapeleka watoto vyuoni,Ni ngumu kweli kweli hasa kwa watui ambao ni wavivu hawajishughulishi. Lakini wewe unasema hapa hali ngumu lakini jirani yako anainuka na kujishughulisha anatoba. We unabaki kusema hali ngumu. TUCHAPE KAZI WATANZANIA.
Ndugu yangu nikushauri kitu kimoja, Kama unaogopa Mikopo basi hautaweza kutoboa, Mkopo ukichukia hakikisha unajambo la kufanyia lakini ukichukua mkopo hujajipanga matokeo yake Mjomba akijua unahela atakwanmbia binamu yako hana sare za shule utatoa, Mchango wa harusi utatoa, sijui msiba unatoa hapo, unataka bia moja au kuku unatoa hapo, ikifika jioni upo kitandani ukiangalia 100,000 uliyokopa uanze biashara ya karanga itakua imebaki 20, na bado hujanunua surwale nzuri hapo hapo na Mwajuma hujampa ya salon.Mkopo wenye riba ya 20% utatoboa vipi? ndio maana wanaotoboa wengi wanakwepa kodi ya TRA. Pamoja na riba kubwa pia umudu matumizi ya nyumbani, matibabu, pango, umeme, maji, elimu za watoto, wazazi na tegemezi, rambirambi, usafiri, michango ya kijamii, nk. huyo mtu atatoboa kivipi? Watu wengi wanatoboa kwa kukwepa kodi, kunyima familia mahitaji ya lazima, kutowapeleka watoto vyuoni,