Uchaguzi 2015

Emmajac

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
15
Reaction score
1
kuna kila haja na kuifanyia mabadiliko sheria ya gharama za uchaguzi (Election Expenses Act 2010) kabla ya 2015 election. kwa wale walio soma sheria hii watakubaliana na mimi inamapungufu makubwa sana na ina kilinda chama tawala.

Maoni yenu yatasaidia kuandaa comments ambazo zitakuwa forwarded kwa Law Reform Commision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…