Uchaguz wa diwan Momba Mbeya

Nchullah.

Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
8
Reaction score
2
uchaguzi wa diwan wilayan momba watia fora askari apigwa jiwe na wanachadema pia mwana ccm apigwa jiwe alazwa kamsamba n baada ya wana ccm kupita maeneo ya karibu na kampen za chadema mida ya saa 12 jion
 

Attachments

  • Photo-0054.jpg
    75.2 KB · Views: 178
  • Photo-0053.jpg
    77.6 KB · Views: 160
  • Photo-0037.jpg
    82.2 KB · Views: 118
...ama kweli hali sasa si shawali tena,wananchi baada ya kuanza kujua jinsi wanavyofanyiwa dhuluma wameamka na wamekuwa na hasira sana na sasa inaonyesha hawataki longolongo "wanavunja nazi kwa ugoko"...
 
KIkwete anakopeleka nchi yetu sijui kama tutabaki salama
 
Nasikitika kumfananisha huyu prezidenti kwa kulitumia jina lake linalofanana na jina la baiskeli ya mbao kwa kisambaa (kikwata)
 
Ukombozi una gharama zake. Lazima tuzilipe. CCM wamefunga ndoa na dola.
 
kwa siasa hizi za kisasi ni hatari .walioziasisi watavuna walichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…