Haya sasa ndo majibu ya Kisayansi, hata ukiwasilisha popote duniani yanakubalika. Facts and evidence based. Siyo Haya ya kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Profesa Manyele na Kamati yake ni aibu tupu kwa Taifa na wanazuoni kote duniani. Profesa anakuwaje na guts ya kuongea mambo ya kihuni namna Ile?
Kwanza aliwezaje kutoa taarifa bila scientific findings (lab results)? Hovyo sana Manyele