Nimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya .
Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa usafi. Masoko haya yana uongozi, bwana afya.
Nimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya . Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa usafi. Masoko haya yana uongozi, bwana afya.
Tustaarabike