Uchafu hauna tabia ya kujisafisha jk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchafu hauna tabia ya kujisafisha jk

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sabung'ori, Aug 4, 2011.

 1. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  Napata shida sana ya kuielewa falsafa ya hicho chama cha magamba,kinacho ntatiza ni pale wanapo ubainisha uchufu uliokichafua chama chao na kuanza kuuambia huo uchafu ujisafishe.Ebu nijaribu kutoa mfana huu raisi,mathalan mbele ya nyumba unayoishi kuna mtalo unaopitisha maji machafu labda kwa sababu ya takataka mtalo umezima na majitaka yanasambaa hadi mlangon na yanakaribia kuingia ndan kwako,je unaweza kuupa mda huo mtalo ujisafishe?,kama ni ndio kwa nini basi tucyape muda mapipa yote ya takataka yaende yenyewe dampo?.Mzee Mwinyi yeye alitengeneza fagio la chuma,JK amekuja na teknolojia mpya ya kuuambia uchufu "nakupa muda ujisafishe"...ama kweli hii ni dunia ya miujiza!?.TAFAKALI
   
Loading...