UC JAMANiiiiiiiiii.DaH!

Abdson

Member
Jul 28, 2012
60
19
Jamani mambo ya uc-browser kwa wale mnaotumia handsets,kitu bomba ktk kifaa chako.Ni application ambayo inakasi ya 3G(third generation)hata kama simu yako ni GPRS(general packet radio service).Kasi yake ni mara 5 ya operamini,picha za HQ na mengineyo mazuri.UC-BROWSER inakupatia 1GB na 70mb for storing files kwa njia ya kuapload,yote hayo utayapata katika sehemu ya UC inayoitwa U-DISK.kama unataka kudownload mafaili makubwa sana utaweza kuyahifadhi kwanza ktk u-disk halafu kuyahamishia ktk simu yako kwa njia ya offlinedownload.We mwenyewe utashangaa kukuta mafaili yameshaingia bila hata kufahamu ni muda gani.UC ina versions nyingi so its your choice.UC inasapoti 97% ya simu zote.Jamani any QUIZ?
 
Nakuunga mkono mkuu kitu kiko super fast, yaani na kisimu changu chenye processor ya 528MHz napata downloading speed hadi 350KBps(SIJAKOSEA), kweli UC ni chiboko opera tupa kule. Ila hiyo UC DISCK ndo ngeni kidogo ngoja niifanyie HOMEWORK kwanza.
 
uc huwa naikubali kwa kudownload, ila opera mini ina smooth scrolling, halafu na inaonyesha page more attractive kuliko uc.
 
Nakuunga mkono mkuu kitu kiko super fast, yaani na kisimu changu chenye processor ya 528MHz napata downloading speed hadi 350KBps(SIJAKOSEA), kweli UC ni chiboko opera tupa kule. Ila hiyo UC DISCK ndo ngeni kidogo ngoja niifanyie HOMEWORK kwanza.

Mh!!hiyo speed!! wc 4n model na kwa mtandao gani?
 
hamna kitu. inashindwa kufungua picha. picha saba utaweza kuona tatu tu. ila kudownload ipo poa. operamin ndo mambo dabodabo.
 
hamna kitu. inashindwa kufungua picha. picha saba utaweza kuona tatu tu. ila kudownload ipo poa. operamin ndo mambo dabodabo.

hapa swala umekariri browser gani katika simu yako ishu inakuja kwenye ISP wako utapata jibu lako.. mi mwenyewe ni adicted ya operamini ila uc na zengine zote nshatupa kule..
 
Labda una version ya 3.3 wenzio tuna 8.5 dubu
mkuu mimi natumia QQ browser min. coz inanipa uwezo wa kuangika msg na kupiga simu moja kwa moja kutoka kwenye simu yangu bila kudisconnect internet. na yote unayoyasema kwenye uc yapo pia. so mtu ni kuchagua. uc hijanishawishi bado.
 
Last edited by a moderator:
uc ina stable downloading lakini sio speed. Hizi browser mbili hazifananishiki kila moja ina unique features zake ambazo mwenzake hana mtapoteza mda hapa kubishana
 
HAYA SCREENSHOT HIYO

c5fad267-2961-c4ba.jpg
 
Uc browser is a powerful downloader+ the UDISK feature,,,tho otha features iko sem with opera km tabbed pages,long click menu etc tho cjaona ishu ya CALLING AND TXTING w/o closing the browser kwny opera ila hii ni easy kwny s60 cuz u cn minimize the applicatn mayb ts a task 4 s40z!
Apart opera imetisha kwny synchronization ov bookmarkz!
So ni upishano mdogo 2 uliopo ila hz ndo fEw Factz!
 
Uc browser is a powerful downloader the UDISK feature,,,tho otha features iko sem with opera km tabbed pages,long click menu etc tho cjaona ishu ya CALLING AND TXTING w/o closing the browser kwny opera ila hii ni easy kwny s60 cuz u cn minimize the applicatn mayb ts a task 4 s40z!
Apart opera imetisha kwny synchronization ov bookmarkz!
So ni upishano mdogo 2 uliopo ila hz ndo fEw Factz!

uc pia ina send sms mjomba.
 
Back
Top Bottom