TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jul 23, 2012 #1 Mtu mmoja amefariki na wengine 40 wakiwa wamelazwa hospitali baada ya kula ubwabwa nyama na kunywa togwa kwenye mnuso huko Iringa. Inasadikiwa kinywaji au mlo ulikuwa na sumu. Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
Mtu mmoja amefariki na wengine 40 wakiwa wamelazwa hospitali baada ya kula ubwabwa nyama na kunywa togwa kwenye mnuso huko Iringa. Inasadikiwa kinywaji au mlo ulikuwa na sumu. Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
S secret.curtis New Member Joined Jul 23, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Jul 23, 2012 #2 hEhEhEhE.....UbWbWaaaaa kaZi ipO
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jul 23, 2012 Thread starter #3 Jungu la ubwabwa hilo
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,355 Jul 23, 2012 #4 Watu wanaongelea mapenzi, wewe unaleta stori za ubwabwa!!!
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 4,127 Jul 23, 2012 #5 vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu
vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,556 Reaction score 7,429 Jul 23, 2012 #6 Mods hadi mchana mnapiga usingizi?
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Jul 23, 2012 #7 Hahahahahahaha ubwabwa noma. Lakini hii ilitakiwa kwenda kwenye habari mchanganyiko!
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 419 Jul 24, 2012 #8 Duh, pole Yao ....
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,285 Reaction score 9,048 Jul 24, 2012 #9 kisukari said: vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu Click to expand... Unaelekea mtu wa maturubai sana we dada.
kisukari said: vyakula vya kwenye minuso,vinakuwa na taste fulani ambayo ukipika nyumbani hiyo taste huipati.vinakuwa vitamu Click to expand... Unaelekea mtu wa maturubai sana we dada.