Haya ndugu wana Jf, mwanza zile bifu za muungano tuzieke pembeni mana kuna watu wanasusia bidhaa kwasababu tu inatoka upande mmoja!! (joking :-D)
Haya serious sasa:
Kwa wale wapenzi wa ubuyu hasa hasa kina dada zetu, nauza ubuyu wa kizenjy:
Ubuyu packet 1 ni 2000tzs
Ubuyu packet 50 ni 1700/per
Proposal pia is welcomed katika pm, jamani tuwe serious!
Ni mtamu sana mashallah!
Nitaweka picha nkiwa nko pazuri