Ubuntu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubuntu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Speaker, Jul 27, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  1.Kila ninapo tumia ubuntu computer yangu inachemka sana

  nilijaribu ubuntu9,ubuntu10.04,bongo linux zote bado zinaleta tatizo hilo hilo,
  tatizo ni nini?
  Naogopa sasa kuitumia nisije unguza motherboard!
  Natumia Toshiba satellite L505

  2.natumia ZTE modem kwenye windows vizuri kabisa,ila kwenye
  ubuntu inakua detected kama CD ROM device na sio kama USB device,...
  nijaribu kuchange after rebooting ubuntu doesnt start anymore
   
Loading...