ubuntu &linux | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ubuntu &linux

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rural Swagga, Dec 23, 2010.

 1. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Good Morning,

  Shaloom wana wa JF,Nilikuwa natamani sana kuInstall Ubuntu au Linux Mint kwenye Laptop yangu sasa tatizo Laptop hiyohiyo ndio nayoitumia kwa kazi za kiofisi,Na System ninayotumia iko Compatible na Internet Explorer pekee.Sasa naweza kuIntall Internet Explorer baada ya kuweka any of those 2 OS's.

  Reggard,
  Rural Swagga.
   
 2. Moseley

  Moseley Senior Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari?
  Naomba kufahamu kuhusu hiyo laptop yako, kama ina Drives zaidi ya moja.. Inawezekana kabisa kuweka OS nyingine katika laptop yako.
  Kama una partition zaidi ya moja, ondoa data zako katika partition (Drive) ya ziada, ambayo ndo uta-install ubuntu yako (Hope u gonna install ubuntu 10.0.4)..

  Kama una partition moja tu, haitawezekana unless uweke Virtual PC.. Kwa bahati nzuri I did the same thing to my System, I have installed Ubuntu 10.0.4 and window 7 in the same hard disk...
   
 3. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Salama ndugu,Yap nina Partition zaidi ya moja ila nisingependa kuweka 2 OS's,Nilikuwa nahitaji msaada kwamba nitawezaje kuInstall Internet Explorer??Kwa sababu nataka niweke Ubuntu au Linux pekee
   
 4. Moseley

  Moseley Senior Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ok.. Nimekupata.. Binafsi sijawahi ku-install Internet explorer kwenye Ubuntu.. Ubuntu huwa inakuja na default web browser inaitwa Mozilla.. Kwa hiyo huna haja ya kutumia Internet explorer, na kama una ihtaji sana kuna tool moja ina Synaptic Package manager katika Ubuntu unaweza ukaitumia ku-install application yeyote.. Ila kwa ushauri wangu, tumia web browser MOZILLA au GOOGLE CHROME maana hizi ziko secured ki mtindo ukilinganisha na Internet Explorer.. Internet explorer haiko secured sana, iko likely ku- be attacked na virus..
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  sijakusoma unaposema system una yotumia iko compatible na IE pekee. Ni system gani hiyo ambayo haiwezi kufunguliwa na browser nyingine. navyoelewa kama hiyo syyem yako unafunguka kwa IE basi hata Firefox, chrome safari itafungua

  Mkuu hata kwenye partion moja Ubuntu inakuwa installed bila tatizo.na hata bila kuweka hiyo virtual PC Cha muhimu iwepo space ya kutosha tu. Mimi nimeshaisntall Ubuntu kwenye hard disk na partition moja
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Internet Explorer ni Windows only.
   
 7. edjizzo

  edjizzo Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiujumla nikufahamishe hiyo os ya kundi la unix ambayo ime bebe ubuntu ,kubuntu, fedora ,mento ,google,linux na nyingine wewe una pakeg ya os tu kama una full yenye 4gb ina uwezo wa kusapport application za microsoft kama una jua ku configure moderm (maelezo zaidi chizi computer /edjizzo@yahoo.com)nenda kwenye update kitu kina itwa wine utaweza kutumia software za MICROSOFT
   
 8. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Install ubuntu (Recommended 10.04)
  Install wine (sudo apt-get install wine)
  Download and install IE

  Au unaweza tumia shortcut
  Fungua terminal (start->Accessories->terminal)
  cd /home/
  USER_NAME/Downloads
  wget http://www.kegel.com/wine/winetricks
  sh winetricks ie7

  see:
  http://wiki.winehq.org/winetricks
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok kumbe inawezekana kuchakachua baadhi ya product a bilgateskama VB zitumike ndani ya ubuntu thanks for info
   
 10. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,810
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Shaloom Rural Swagga, mimi nilikuwa na OS ya Linux Mind niliweza install kwenye Lap yangu ikiwa na WIN na zote zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu ila ni lazima ufanye PARTITIONS Na OS ya Linux Mind ina Explorer yake direct, Pia naomba copy ya hiyo Linux yako nataka achana na OS za WIN
   
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  script ya winetricks kama sijasahau ina option ya kuinstall visual studio so, VB is very possible. Lakini kama lengo ni kutumia .NET kwa nini usitumie Mono?
   
 12. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Usiweke IE8 ina shida. Tumia IE7 (sh winetricks ie7)
  Hii ni picha ya IE/WMP10 ktk ubuntu
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu samahani nakuona bado upo nyuma unataka ( kuInstall Internet Explorer) Kwenye UBUNTU? mimi nimeisahau hiyo ( kuInstall Internet Explorer) inafika hata miaka 5 Tangu nilipopata :MozilaFireFox an Google chrome.Nimekwisha kusahau kuwa kama kuna kitu kinaitwa ( kutumia Internet Explorer )
   
Loading...