Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,186
- 12,848
wanashobo sana kwa wasauzi.Hao wasauzi mnaowashobokea Kila baada ya miaka miwili wanawaua na kuwafukuza kwao lakini shobo haziishi, labda mpaka mpate mimba sasa
KaziKweliKweliSawa sawa!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hata huyo ni kenge tu
😁Hata huyo ni kenge tu
Nyuma MWIKO aisee kweli wenye akili wawili tu hukoDaima Mbele, Nyuma mwiko
wewe wasemaNyuma MWIKO aisee kweli wenye akili wawili tu huko
Yaani huyu jamaa alizidisha shobo hadi jezi kavaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kumbe,kwaio nikivaa hiyo nahimiza umoja na mshkamano,sasa hii ya kukamatana inatoka wapi Ndumbaro?