Ubuntu 11 installation

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
Recently nimedownload ubuntu11(thanx to proxy hack) nimecreate bootable usb, then nkajaribu kuboot kwenye mashine ya dell inspiron m5010 cha ajabu imeanza kidogo kuinstall kisha imeandika sentensi, nisubiri sekunde60 ifanye installation ya network halafu haiendi zaidi ya hapo!

iyo bootable usb nimeijaribu kwenye dell d620 imepiga mzigo kama kawa. Nimeshindwa kujua tatizo nini. Help please kwa anayejua
 
Kwa haraka haraka niulize, while installing, connection ilikuwa active au?Kuna siku nilikoma nayo, coz ilikuwa inadownload recent installation files from the web baada ya ku-detect mtandao_Otherwise labda iwe less compatible, in terms of harware. But ngoja wataalamu zaidi watroubleshoot.
 
hapana haikuwa connected, na nimeitumia hiyohiyo kuinstall kwenye dell d620 imekubali tena in few minutes
 
za saa hizi wakuu samahani ninashindwa kuanzisha thread ila tatizo langu ni wapi naweza kupata motherboard ya laptop ya toshiba l300. laptop yangu imekufa motherboard
 
hapana haikuwa connected, na nimeitumia hiyohiyo kuinstall kwenye dell d620 imekubali tena in few minutes

Inanitatiza hapo.
Umejaribu port nyingine ya usb?
HDD yako iko okey? (Healthy?)
Previous OS ilikuwa ipi?

Zaidi ya hapo nataka kunyoosha mikono juu kwa sasa.
 
Kifupi ni kwamba, hii mashine ni brand new nimeitoa kwny nailoni yake kabisa. Port zote zinafanya kazi poa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom