Ooyooo hii ni kali sana tena ni ya mwaka au ya nusu karine hii na hasa tokea nibalghe sijawahi kuisikia wala kuiwona hii kitu na bado sijaiyamini kama ni kweli au usanii na kama ni kweli basi huko uswahilini itabidi nihame haraka tena kunatisha kama hali ndo hii duu na tena nahau usioni vya ilea kumbe vimeundwa toba jamaani yailahi atustiri na uhai