Ubunifu

sa mbona hakina kiti??? Ila wadhungu wakiona hiyo wavuuuuu.. wanajua bado kitambo tu tutajikomboaaa na maswala ya usafiri... Pongezi kwa mbunivu huyooooo..
 
Hahahaha inanikumbusha zile baiskeli zetu za miti kwetu Makambako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…