Ubunifu

Badala ya kukinga maji ya mvua kwa ajili ya matutizi ya baadae wewe unayaacha yanapotea.
 
Kwahiyo hapo anangojea usafiri au anajaza maji?
Anasubiri usafiri, na akiwa ndani ya usafiri usishangae akianza kuuza hayo maji kwa abiria wengine Kama maji ya kunywa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…