Kiatu kinang'ara kwa namna ambayo jamaa anatumia kama kioo kwa ajili ya kunyoa ndevu! Wakati sawa kipara chake nacho kinang'ara kwa namna ambayo bibie anakitumia kama kioo kwa ajili ya kupaka wanja!!!