Ubunifu wa Tigo Mitandao minginemko wapi..?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Nimekuwa nikifuatilia sana Product(bidhaa) zinazotolewa na mtandao huu ni za kipekee kwakweli na wengi wao wamekuwa wakifuatia kwakukopi kinacholetwa na tigo japo sidhani kama wanafanikiwa.
Pia katika matangazo wamekuwa wakiweka budget kubwa ili kutengeneza matangazo yenye ubora wa hari ya juu na kuwavutia wateja wengi ikiwemo matangazo ya Redio na television
Baadhi ya bidhaa zao ni kama,
Facebook ya bure.
whatsaap ya bure.
Tigo 4G.
Halichachi.
Jazwa Ujazwe
.(mpya)
mitandao mingine imekuwa ukisubiri Tigo waanze na wao wacopy, hizo ni baadhi ya huduma ambazo mitandao mingine imecopy asilimia zote.
mfano, Tigo walianza na Halichachi akafuatia Voda ndani ya wiki mbili akazindua Haliishi mara Airtel nao wakaja na Hatupimi.
Sintoshangaa kwa Kampeni hii waliozindua leo mitandao mingine nayo ikabadirisha Upepo na kuzindua kampeni yenye kauli sawa na Tigo.
Nawasilisha.
 
Ubunifu wa kutupunguzia Bando la chuo..nimeshawahama na sijui nitarudi lini..
 
Hapo kwenye uchumi tunaita Game theory kwenye biashara hiyo ipo kabisa to copy wht others do
 
Ha ha haaaa Tiwa Utiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…