The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,111 115,906 Sep 14, 2012 #21 snowhite said: pia kuna tende na maziwa ,unaviblend pamoja!matokeo yake hata dozi ya wiki humalizi! Click to expand... tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki?
snowhite said: pia kuna tende na maziwa ,unaviblend pamoja!matokeo yake hata dozi ya wiki humalizi! Click to expand... tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki?
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,111 115,906 Sep 14, 2012 #22 Kaunga said: Tena kuku mwenyewe awe jogoo mchanga; duh yaani unarudi kama ulivyokuwa 16yrs! Click to expand... mnhhhh is it so?
Kaunga said: Tena kuku mwenyewe awe jogoo mchanga; duh yaani unarudi kama ulivyokuwa 16yrs! Click to expand... mnhhhh is it so?
harakat JF-Expert Member Jul 4, 2011 2,888 1,347 Sep 14, 2012 #23 Pole maaana huo ulikua upungufu wa supu mwilini kaka sio lazima mamsapu apike supu nenda hata baa hivyo vitu vinapatikana tu menu inasaidia kwenye hivi vitu kaka
Pole maaana huo ulikua upungufu wa supu mwilini kaka sio lazima mamsapu apike supu nenda hata baa hivyo vitu vinapatikana tu menu inasaidia kwenye hivi vitu kaka
snowhite JF-Expert Member Aug 2, 2012 17,710 23,661 Sep 14, 2012 #24 The Boss said: tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki? Click to expand... dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta!
The Boss said: tende na maziwa nimewahi sikia dozi ipi hiyo ya wiki? Click to expand... dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta!
S SG8 JF-Expert Member Dec 12, 2009 3,955 2,125 Sep 14, 2012 #25 snowhite said: dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta! Click to expand... Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria
snowhite said: dozi ya huo mchanganyiko,yani unajibua fasta! Click to expand... Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Sep 14, 2012 #26 Gerrard said: Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria Click to expand... Nami nimepata kitu kipya hapa.
Gerrard said: Aisee!!! JF ni darasa, Sikuwahi kufikiria Click to expand... Nami nimepata kitu kipya hapa.