Ubunifu wa kiswazi

...mtambo wa UTI na KIPINDUPINDU,mbunifu hakuzingatia mambo mengi ya msingi ktk ujenzi wake,alipaswa kuangalia technologia ya sasa imefikia level gani ili ajaziemo kitu kuliko kujenga kitu kilichotumika miaka ya 1840...
 
Gefu while others are moving forward we are doing it opposite...!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wao waweze wana mini na sisi tushindwe tuna nini ?? Huwa nakosa majibu sana katika hili....!!!
Uzalendo, utashi na utayari wa kufanya jambo lenye manufaa kwa wote ni misamiati migumu sana kwetu..!

...kwa mwendo huu wa bwana sita, hizi makitu tutazisikia redioni tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…