Ubunifu wa JPM na Shein ni wa kupongezwa!

Hakika mfumo mpya wa kuadhimisha siku za kitaifa pande zote za Muungano zimeleta msisimko kwa wananchi.Leo katika hotuba zao Shein na JPM kwa nyakati tofauti kutokea Zanzibar na Simiyu na Shinyanga wameelezea kuhusu jambo hilo..

Nawapongeza kwa ubunifu wa kizalendo.
Umekurupushwa?!!
 
Mh wetu amefanya vizuri kubakia Tanganyika na kusemea mambo ya serekali ya mapinduzi Zanzibar,akiwa katika ardhi ya Tanganyika,angethubutu kwenda angesugua benchi huku mwenye nchi akiendelea kuserebuka na maparedi ya heshima.
 
....
.....Manchester United hatushikiki...Chuwi si mamba ....acha maneno siasa...chezalokasa yambongo...
 
Kwakweli hiyo ni hatua nzuri sana katika kubana matumizi..tunampongeza kwa dhati rais wetu huyu mwema!
 
Hakika mfumo mpya wa kuadhimisha siku za kitaifa pande zote za Muungano zimeleta msisimko kwa wananchi.Leo katika hotuba zao Shein na JPM kwa nyakati tofauti kutokea Zanzibar na Simiyu na Shinyanga wameelezea kuhusu jambo hilo..

Nawapongeza kwa ubunifu wa kizalendo.
Pesa zimeshapatikana Eeh za kuandaa sherehe moja katika maeneo mawili tofauti na kuongeza bajeti ambayo ingetumika upande mmoja tu?
 
Hakika mfumo mpya wa kuadhimisha siku za kitaifa pande zote za Muungano zimeleta msisimko kwa wananchi.Leo katika hotuba zao Shein na JPM kwa nyakati tofauti kutokea Zanzibar na Simiyu na Shinyanga wameelezea kuhusu jambo hilo..

Nawapongeza kwa ubunifu wa kizalendo.
Ubunifu upi huo?Na wasiwasi na akili zako kama.ziko sawa
 
Back
Top Bottom