Leo ndio nimeyaona maji haya Samsun.,siyapigii promo siwajui wahusika ispokuwa nimeona wamekuja na utofauti sana wa package yao. Wamegundua vipi watu wengi hawapendi kutembea na chupa ila wao wakaja na style inayomfanya mtu atembee na chupa bila shida. plus maji no matam sana