South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
Habari zenu ndugu, poleni mliotendwa na mliozitumia zote siku ya Eid mkasahau kuna maisha baada yake. Pia hongera zenu mlioanzisha mahusiano siku hiyo maana kuna wanawake unaweza fukuzia mwaka mzima zikikaribia sikukuu ndo anaahidi kukupa jibu.
Embu nirudi huku, hivi wale wabunifu ktk Mapenzi ndo washaishiwa au? Maana yote ni yale kwa mfano maua, kiss/kunyonyana maungo, zawadi vitu, hata mitindo ni ile ile. Na sasa hivi hata mbinu za kutongozana zimezoeleka na ni ngumu kumng'oa demu kwa kumwambia NAKUPENDA kwa sasa bila kumrubuni na zawadi/vitu/pesa.
Wabunifu tuleteeni vitu maana saivi imekua taabu hata kupata namba ya simu kwa mwanamke uliyeonana nae ghafla. Au ndo kusema tumefika kikomo cha ubunifu?