Ubunifu: Card of life

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
579
Reaction score
212


Wakuu habari!

Nipo naifikiria hii project "During an emergency at your home, there are times when you may be unable to speak or think clearly. #CARDOFLIFE itaongea kwa niaba"

Nataka nifanye hii project ya wanachi kutengeneza card of life baada ya kufanyiwa vipimo vichache au kuja na document zinazo support matatizo yao ili ikifika kipindi kazidiwa iweze kuwa rahisi kupewa huduma na kurahisisha diagnosis..

Hii itakuwa ni mobile project ambayo itawafuata wananchi mitaani kwao pia na plan ya kutengeneza a big database of this ili kila hospital iweze kupata info online kwa mgonjwa husika pale panapohitajika..

Hiyo ni sample tu, naombeni mchango wenu na mawazo yenu wakuu

Ahsante
 
Mmmh!! naona wazo zuri ila kwakua sina utaalamu wa hii mambo wacha waje wajuzi.
jamani wenye ujuzi kujeni huku kutoa msaada kwenye tuta.

cc:
@mzizimkavu, Watu8
 
Mkuu wazo zuri, tahadhari, nasikia jamaa aliyebuni mita za luku ni mtz. alipopeleka tanesco wakamwambia awaachie waifanyie kazi, ndo ikabakia hadithi upande wake
 
Mkuu wazo zuri, tahadhari, nasikia jamaa aliyebuni mita za luku ni mtz. alipopeleka tanesco wakamwambia awaachie waifanyie kazi, ndo ikabakia hadithi upande wake

nimekuelewa sana
 
mchango wenu wakuu, au sehemu ya kupita ili iweze kukubalika vizuri bila zengwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…