Mkaa Mweupe JF-Expert Member Joined Jun 29, 2007 Posts 654 Reaction score 187 Aug 14, 2009 #1 Pateni picha ilivyojiri katika stendi ya ubungo leo Attachments Haloo.JPG 49.3 KB · Views: 227 Mlundikano.JPG 34.6 KB · Views: 297
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 10,023 Reaction score 5,839 Aug 14, 2009 #2 sasa mbona picha mbili tu. halafu kama za zamani hivi!!! weka nione abiria walivyo.weka hapo.
K KAPONGO JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 1,688 Reaction score 680 Aug 14, 2009 #3 Huko ni kuchemka...nilitegemea kuona picha anuai za kuonyesha athari za mgomo wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani...lakini mh! waswahili walinena wataka kuruka umeagana na nyonga weye!!!
Huko ni kuchemka...nilitegemea kuona picha anuai za kuonyesha athari za mgomo wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani...lakini mh! waswahili walinena wataka kuruka umeagana na nyonga weye!!!