Ubungo kwafunga


Unahitaji maombi mkuu!! kwa usafiri upi wa public ambao ni tegemeo dar hii. Watu wote wangependa ku drive ila tu hawana uwezo kwa namna moja au nyingine, usafiri wa public dar ni mateso. mabasi yanajaa sana, foleni ukiwa umesimama muda mrefu, ni mateso tu.

Ungetumia muda wako kuwashauri watu waliopata bahati ya kutoa maamuzi ila hawana uwezo kifikra ili wajenge flyovers na ring and feeder roads ningekusifu.

Ungewashauri kuwa kabla ya kujenga BRT dar wangeanza kuziweka lami njia mbadala kama za makongo hadi goba, goba hadi masana, mbezi mwisho hadi tabata na hata pugu au gmboto, then ndo waendelee na huo mradi wao ambao hata hatuoni utasaidia nini wakazi wa dar.

Barabara hiyo hiyo moja, unang'oa lami nzuri unaweka ingine eti kisa mabasi ambayo hujui ubungo yatapitaje, sijui yatawekewa mabawa yapae?!!!! this is completely not serious!

Na ndo maana hawatuwekei 3D drawings kwenye maungio muhimu kama ubungo kutuonyesha mradi ukiisha kutakuwaje hapo ubungo. wameondoa traffic lights, askari asipokuwepo kidogo tu kunafunga, wameanza kujenga li msingi pale katikati, hata hatujui wana plan ipi!!!
Hivi ubungo kuna mbunge kweli!!! huyu mbunge yeye anaishi wapi ambapo haoni tabu wanayopata wananchi wake hapo ubungo.

Sijui ni lini nchi itawasikiliza wataalam katika kufanya maamuzi.
 


Mimi imeniuma sana kubomoa ile lami ya zamani ambayo ilikuwa nzuri tu, tena ilikuwa pana zaidi kuliko hii ya sasa. Kulikuwa na sehemu nyingi tu za kuchepuka upande mwingine.
 
 

jamani hivi wanaopata shida ni watu wa ubungo tu?????
 


Sasa na wewe Mbunge anaingiaje sasa hapa?? Tumia akili ..........................
 
Ni kweli wakati mwingine trafiki hua wanakua sio fair.ijumaa iliyopita nimetumia saa 1 na nusu kutoka mlimani city kwenda riverside
 
Hao wajenzi wamelipwa mpaka mapesa ya kutengeneza diversion tena za lami na vibao vya kuelekeza gari zipite wapi mda gani na muda gani ila zote zimeingia mifukoni mwa wajanja kazi yenu kulialia tuuuuu

Sasa hizo diversion zitapita wapi wakati hatua mbili pembeni mwa barabara unakutana na maghorofa ya tanesco kama cyo nguzo za umeme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…