Uchaguzi 2020 Ubunge wa Rombo: Ni mpambano kati ya Joseph Selasini dhidi ya Godlisten Malisa

Wanadhani Kilimanjaro ni sawa na Dodoma
Nyie mnafikiri siasa za Kilimanjaro ni kama za kwingineko? Watu hawadanganyiki kirahisi na ccm kama kwingine na watu kule wanabadilisha vyama watakavyo.
 
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
Umeongea point kubwa sana.
 
Tanazania yote yetu hata mngoni akiamua kugombea umasaini,chambiri mkurya aligombea babati mjini akashinda akamuangusha mzawa kabisa paulina gwekul wa chadema,mbunge wa babati vijini ni mhindi anaitwa jitu vrajival soni
 
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
Chadema walichukua mitaa mingapi uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Hebu tuachane na Selasini, kwenye siasa kwa sasa Selasini ni maji ya jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…