Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa

Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.

Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.

" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."

Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.

Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television

-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi mahakamani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
 
NEC haina pesa za kuandaa uchaguzi mdogo. Pia ccm nao hawana pesa za kufanyia kampeni. Pesa zote zatumika kununua wabunge na madiwani and unfortunately matajili wamegoma kuikopesha ccm.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.

Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.

" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."

Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.

Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television

-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi madarakani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
 
Hapo chini nahisi ulikusudia mahakamani badala ya madarakani.
 
Lakini sijui hii sheria kuwa mtu akishatangazwa kupita bila kupingwa NEC haiwezi kuingilia imeanza lini. Nakumbuka 2010 Masha alitangazwa kupita bila kupingwa lakini Wenje akakata rufaa NEC na uamuzi wa kuwa Masha amepita bila kupingwa ukatenguliwa na baadae Wenje akabeba jimbo. Wakati huo Wenje alituhumiwa kuwa si raia wa TZ. Sasa hili la kuwa NEC haina meno juu ya suala hili inatoka wapi?
 
Ukiwa muongo then ukakosa kumbukumbu ni sawa na kuku aliyechinjwa akaachwa ghafla

Tume inajidhalilisha sana hii
Lakini sijui hii sheria kuwa mtu akishatangazwa kupita bila kupingwa NEC haiwezi kuingilia imeanza lini. Nakumbuka 2010 Masha alitangazwa kupita bila kupingwa lakini Wenje akakata rufaa NEC na uamuzi wa kuwa Masha amepita bila kupingwa ukatenguliwa na baadae Wenje akabeba jimbo. Wakati huo Wenje alituhumiwa kuwa si raia wa TZ. Sasa hili la kuwa NEC haina meno juu ya suala hili inatoka wapi?
 
Tume ikishatangaza Matokeo ya Uchaguzi Haina Mamlaka ya kutengua Maamuzi hayo

Hao CUF ilipaswa waende Moja Kwa Moja Mahakamani
Kwa Umbumbumbu huu naamini Hata form Za Uchaguzi walikosea Kweli kujaza
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.

Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.

" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."

Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.

Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television

-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi madarakani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
Wapeleke kesi madarakani? Mweeeeeeh
 
Ni bora kuhoji Dhuluma hizi mahakamani hata isipotendeka haki,maamuzi ya mahakamani na vipengele husika zitasaidia records kudai haki mbeleni
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imetangaza kupokea rufaa ya Ngulangwa Mohamed Mshamu, wa CUF, akipinga kutangazwa kushinda bila kupingwa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea.

Kwa mujibu wa tume hiyo, walipokea taarifa ya kupingwa kwa ushindi wa Mtolea mara baada ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi lakini wamedai suala hilo liko nje ya uwezo wao.

" Tume ilipokea malalamiko kwa Ngulangwa Mshamu (CUF) akipinga uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Temeke kumuondoa kwenye orodha ya wagombea Ubunge na kumtangaza mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Ally Mtolea kuwa amepita bila kupingwa ."

Aidha taarifa hiyo imesema " kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya taifa ya uchaguzi, mgombea akitangazwa kuwa amepita bila kupingwa NEC haina mamlaka juu ya uamuzi wa msimamizi wa uchaguzi ''.

Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa | East Africa Television

-------------
Ni vyema sheria za uchaguzi zikapitiwa upya.
—Msimamizi mkuu wa uchaguzi ni nani?
—Anayemtangaza mshindi ni nani?
—Je, hana uhusiano na NEC?
Niwaombe CUF wapeleke kesi mahakamani, (mtembea bure si sawa na mkaa bure)
Hiyo kesi sasa itaendeshwa mpaka mwezi wa 7 /2020 .muda wa ubunge wa mteuliwa umeisha .utawala wenye hila mmbaya sana
 
Back
Top Bottom