C chaurembo jasiri Member Joined Jul 20, 2015 Posts 6 Reaction score 0 Jul 20, 2015 #1 Kila mtu anagombea ubunge tz kunani jamani???
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jul 20, 2015 #2 Sababu ya kwanza ni ukosefu wa ajira zinazolipa. Sababu ya pili, ubunge unapatikana kwa rushwa au umaarufu na sio nia ya kuwatumikia wananchi. Sababu ya tatu ni kwa sababu siasa inalipa sana hasa upepo ukikuendea vizuri ki siasa.
Sababu ya kwanza ni ukosefu wa ajira zinazolipa. Sababu ya pili, ubunge unapatikana kwa rushwa au umaarufu na sio nia ya kuwatumikia wananchi. Sababu ya tatu ni kwa sababu siasa inalipa sana hasa upepo ukikuendea vizuri ki siasa.
Junius JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 3,180 Reaction score 149 Jul 20, 2015 #3 Mnaongozwa na Mdokta hali mbaya, nanga zinapaa hewani, saivi wanakuja wasanii, natafuta nchi ya kukimbilia, upuuzi umezidi nchi hii sasa.
Mnaongozwa na Mdokta hali mbaya, nanga zinapaa hewani, saivi wanakuja wasanii, natafuta nchi ya kukimbilia, upuuzi umezidi nchi hii sasa.
Ricky1234 Member Joined Jun 18, 2013 Posts 54 Reaction score 20 Jul 20, 2015 #4 ukisema maadili yameshuka then haujakosea ndo maana kila mtu anajiona kiongozi hata kwa wale wenye tabia chafu
ukisema maadili yameshuka then haujakosea ndo maana kila mtu anajiona kiongozi hata kwa wale wenye tabia chafu
N Nando JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 4,848 Reaction score 2,061 Jul 20, 2015 #5 Naungana na mtoa mada ubunge umeshuka thamani sana ndo maana hadi akina shilole+wema+uwoya+steve wanautaka
Naungana na mtoa mada ubunge umeshuka thamani sana ndo maana hadi akina shilole+wema+uwoya+steve wanautaka
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,572 Reaction score 2,813 Jul 20, 2015 #6 Ajira ngumu tanzania...
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 959 Jul 20, 2015 #7 Sasa kama watu wa aina ya akina SUGU au LEMA eti nao ni wabunge. Hii Lazima itakuwa kazi ya kudharauliwa
Sasa kama watu wa aina ya akina SUGU au LEMA eti nao ni wabunge. Hii Lazima itakuwa kazi ya kudharauliwa