[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Posho za wabunge zapanda kimyakimya [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"]
Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Monday, 28 November 2011 08:24 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]0diggsdigg
Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma
ZAPANDA KUTOKA SH70,000 HADI 200,000, NI ZAIDI YA ASILIMIA 150
Fredy Azzah
HUKU mjadala wa kufutwa au kwa posho za wabunge na watumishi wengine wa Serikali ukiwa umefifia, posho za vikao (sitting allowance) za wabunge zimepanda kutoka Sh70,000 kwa siku hadi Sh200,000, imefahamika. Zimeongezeka kutoka Sh70,000 mpaka 200,000, wameanza kulipwa Bunge lililopita hili ni ongezeko la karibu mara tatu, yaani asilimia 154, kilieleza chanzo chetu kutoka ndani ya Ofisi za Bunge.
😛hoto:
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]