Ubunge Lulindi: Jerome Bwanausi (CCM) atangazwa mshindi

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jerome Bwanausi, atangazwa mshindi katika Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara kwa kupata kura 17,715 baada ya kufanyika kwa marudio ya uchaguzi uliofanyika jana.

Ushindi wa Jerome umetangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
 
Kwa katiba hii hii naina haja kupiga.

Katiba hii Dar esa salaam inaongozwa na ukawa, katiba hii hii Kilimanjaro mkoa mzma kasoro majimbo mawili yameenda ukawa katiba hii leo mmeongeza wabunge, inkuwaje haina haja CCM kushinda ubunge jimbo moja hilo
 
Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika jimbo la Lulindi kupitia CCM, Jerome Bwanausi ametangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho baada ya kuwabwaga wenza watatu kutoka vyama vya NLD, CUF na ACT Wazalendo, katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana.

Jerome ameshinda kiti hicho kwa kupata kura 17,715 sawa na asilimia 87.3, akifuatiwa na Modesta Makaidi wa chama cha NLD aliyepata kura 1,638, Amina Mshamu wa CUF akipata kura 714 na mgombea wa ACT Wazalendo Francis Ngaweje akiambulia kura 213.
 
Katiba hii Dar esa salaam inaongozwa na ukawa, katiba hii hii Kilimanjaro mkoa mzma kasoro majimbo mawili yameenda ukawa katiba hii leo mmeongeza wabunge, inkuwaje haina haja CCM kushinda ubunge jimbo moja hilo

Nishagundua ww ni kilaza maana unaakili fupi sana.
 
Ila wakishinda Ukawa haja inayo

Kwa uhuni huu uliofanyika mwaka huu, watu wengi waligoma kujitokeza kwani wanasema wanaomchagua hatangazwi, anatangazwa mwingine!! Bora waanzishe mfumo tu kama wa china, kuliko kuongopeana eti kuna democracy.
 
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jerome Bwanausi, atangazwa mshindi katika Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara kwa kupata kura 17,715 baada ya kufanyika kwa marudio ya uchaguzi uliofanyika jana.

Ushindi wa Jerome umetangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Hapa kazi tu.......
 
Hayatuhusu, hata hizo kura ni uongo! Maana jana wasimamizi walisema vituo vingi vilivyokuwa na daftari lenye kurasa 50, halikuisha!
 
Katiba hii Dar esa salaam inaongozwa na ukawa, katiba hii hii Kilimanjaro mkoa mzma kasoro majimbo mawili yameenda ukawa katiba hii leo mmeongeza wabunge, inkuwaje haina haja CCM kushinda ubunge jimbo moja hilo

Hawana jipya hao achana nao
 
Kwa uhuni huu uliofanyika mwaka huu, watu wengi waligoma kujitokeza kwani wanasema wanaomchagua hatangazwi, anatangazwa mwingine!! Bora waanzishe mfumo tu kama wa china, kuliko kuongopeana eti kuna democracy.

Kwanini mnaweka wagombea wakati mnajua mambo hayako upande wenu? si muache?
 
UKAWA wampe mama Modesta Makaidi ubunge wa Viti Maalum kama kweli wanamuenzi Mzee makaidi aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza UkAWA!
 
Back
Top Bottom