SASA tutajuaje kama unasubuliiwa na fangasi we bana hivyo hivyo mwisho wako tuta uonaNyodo sina, ila huwa nina msimamo wa kutogawa k kabla ya ndoa
Nanukuu:: hivi chibu madale ni guest,lodge au danguro!!!??? By zarina hassan.Cheki na chibu nafasi bdo hazijajaa
Ngazi ya elimu niliyofikia mm ni zaidi ya hapowe ukichelewa kusoma. 33 toa 6 = 27 wenzio wanamakiza masters na 24
Ha ha
wewe na mathread yako muongoHapana. Ila sigawi mpk ndoa
Hapana. Siyo vemaWeka picha tukuone
Hilo ndo neno. Wengi huwa hawaelewi madhaifu yao na kuishia kulalamika.Sio cheo bidada kuna shida nje ya cheo. Tafuta rafiki yako mkweli na asiye mnafiki atakwambia mapungufu yako
Nadhani ushauri huu uzingatie jamaa amekua mkweli amesema ya moyoni kabisaMi sidhani kama wanaume wanakuogopa ila kwa jinsi unavyojiweka ndo tatizo, either :,
-Unavaa kibibi bibi, na wanaume wengi hawapendi kibibi, najua unakuwa unaona Unavaa nguo za heshima bali pia Unavaa kibibi
-jaribu kuishi maisha ya kawaida na si ya kisomi ili uwe sawa nao
-always tabasamu usiwe kila kitu serious hapana usikute ulishapendwaga mda mrefuu sema tuu umepishana na gari la pesa
-Punguza kuchagua watu Wenye hazi zako tuu ndo uwe nao kwa kuogopa wale makapuku eti wanakuja si kwa mapenzi bali kutaka mali zako
_ unapoelekea utakuja ku adopt Mtoto ili tu uwe na Mtoto au utamlipa mwanaume ili akuzalie Mtoto
*U still have a time to back up ur brain and change ur perception about gentleman
Soma chini kabisa ya Uzi wangu mkuuwewe na mathread yako muongo