Ubora wa vifaa vya electronic vya pintech

Kowalski

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
348
111
Naomba msaada kwa ambae ameshatumia vifaa vya electronic vya pintech juu ya ubora wa hivyo vifaa
 
Ndio vifaa gani hivyo mkuu?? Labda ungeweka mfano cz yawezekana watu wameshavtumia ila jina ndio hawalifahamu
 
Ni kuanzia flat screen, home theatre, sub woofer, hadi majiko ya gesi
 
Back
Top Bottom