WamepooozaHata ushangiliaji wa majirani sio ule tuliouzoea kabisa.
Yeaah simba ni team kubwaaa na imeonyesha ukubwa wakeKwanza hongera simba.
It was giant against giant na kila shabik wa mpira ameelwa hilo.
Underdog? Kwangu hapana hata wydad walijua game hii ina maturity test na majukwaa ya mashabik wao yamethibitisha hilo.
Kuna mashabik wa mpira wanasema atakayekutana na wydad atajipigia.Big no. Ubora wa simba ndo umefanya wydad ionekane dhaifu kwa sababu tu hawakupata matokeo ambayo mashabiki waliingia nayo uwanjani.
Simba leo walikuwa na kitu kinaitwa strong mentality against strong oponent na hii huipati kwa underdog oponent.
Wydad atashangaza wengi na huenda mechi ya mwisho ya nusu fainali itaifanya dunia kuwapa simba heshima waliyonyimwa leo
Strong and dedicated team. Mechi imeamuliwa zaid na makocha kuliko wachezaji kimbinu. One against one wydad walikuwa mbali kiasi chake kutoka ilipo simba.Ila bench la ufundi la simba walijua kuandaa kikosi kwa mechi maalumu.
Asante simba huna deni kwetu kwa msimu huu
sijui wakemutwa na nini.Wamepoooza
Kabisa,na amechamgia kwa kiasi kikubwa kuwatoa mchezoni wachezaji wa simba kiasi kwamba wakawa wanaogopa kucheza mpira hata kukaba.Kuna ka upendeleo flani alikuwa nako kwa kuwaogopa wamoroccoKuna Muda refa alitaka kuharibu mchezo na pia naweza kusema refa kiasi Fulani imezingua Alie ona ameona na ata Kiri hapa.kama nasema uongo...
Wasiwasi jumapilisijui wakemutwa na nini.
Mtu anatamani kucheka lakini hana sababu ya kucheka.Wasiwasi jumapili
Kweli kabisa ukiangalia Kuna Muda wachezaji wakifika kwenye 18 wanaogopa kukaba Fvckng ref...[emoji706]Kabisa,na amechamgia kwa kiasi kikubwa kuwatoa mchezoni wachezaji wa simba kiasi kwamba wakawa wanaogopa kucheza mpira hata kukaba.Kuna ka upendeleo flani alikuwa nako kwa kuwaogopa wamorocco
Yes wakate rufaaa tu Mimi naona kama ilivyotokea hapo nyuma.Naam kuna makosa yalifanya ni juu ya uongoz kufile malalamiko wakiona ina tija
Hiki ni kipimo cha ukubwa wa hizi klabu mbiliMechi ilitizamwa na mashabiki 89m kote ulimwenguni. Source ni www.statisticalworld.com