emmanuel mwiyulege
Member
- Aug 4, 2017
- 10
- 2
Tatizo watanzania tulikuwa na mawazo mgando ya kusubiri serikali kufanya mambo hata kama yako ndani ya uwezo wetu,mfumo wa rais magufuli ni mfumo bora sana umefungua akili za watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app