Hizo taasisi zipo tu lakini msaada wake kwa wakulima ni zero, yani wakulima ndio waitafute taasisi badala ya taasisi kujiweka karibu na wakulima kama ilivyo madhumuni ya uwanzishwaji wake.
Hakuna tofauti na mkukuta na mkurabita hapo , bonge la majina lakini wananchi hata awajui zinashugulika na nini...masikini kodi zetu