Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,593
- 18,813
Nakubaliana na wewe. Kwa misimu ijayo endapo hii tumu itakuwa maintained, Yanga akijitahidi sana kwa Simba ni droo.Kuna watu nimewaambia jana ni mala ya mwisho Yanga kumfunga Simba...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakubaliana na wewe. Kwa misimu ijayo endapo hii tumu itakuwa maintained, Yanga akijitahidi sana kwa Simba ni droo.
Sana tu mkuu,maisha haya si kitu bila MunguUMEOMBA LAKINI ULIPO AMSHWA SALAMA MAANA YESU NDIE AKULINDAE
Nimefurahi kusikia hivyoSana tu mkuu,maisha haya si kitu bila Mungu
umewahi kucheza mpira? Eti walikuwa wanamruhusu pacome akokote awezavyo😆😆😆😆Nikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu.
Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi.
1.Presha ya kucheza kwa kutaka kufuta uteja,hii imesababisha timu kukosa ile kujiamini Moja kwa moja.
2.beki ya Simba kupandisha mashambulizi na kujisahau,kumbuka shuti liliogonga mwamba dakika za mwanzoni Lililopigwa na Dube,hii ni kitendo cha Malone kufocus kwenda mbele tu
3.kucheza wakiwa na hofu ya redcard hivyo kukaba kiuoga,maana walikuwa wakimruhusu Pacome akokote mipira hili ni kosa kubwa walifanya ,na vile Pacome alivyomjanja kwa kuzisaka faulo ndiyo kabisa
Ni hayo tu kuhusu Yanga Kuna namna ilielemewa ni vile tu uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
Ila Joshua Mutale,na Debra Fernandes ni watu na nusu timu za ligi kuu zijiandae
Hamna cha uwoga wala hofu, ila bado hamna chemistry between wachezaji wapya. Wakiwlewana hawa watakuwa tishio wapewe mudaNikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu.
Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi.
1.Presha ya kucheza kwa kutaka kufuta uteja,hii imesababisha timu kukosa ile kujiamini Moja kwa moja.
2.beki ya Simba kupandisha mashambulizi na kujisahau,kumbuka shuti liliogonga mwamba dakika za mwanzoni Lililopigwa na Dube,hii ni kitendo cha Malone kufocus kwenda mbele tu
3.kucheza wakiwa na hofu ya redcard hivyo kukaba kiuoga,maana walikuwa wakimruhusu Pacome akokote mipira hili ni kosa kubwa walifanya ,na vile Pacome alivyomjanja kwa kuzisaka faulo ndiyo kabisa
Ni hayo tu kuhusu Yanga Kuna namna ilielemewa ni vile tu uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
Ila Joshua Mutale,na Debra Fernandes ni watu na nusu timu za ligi kuu zijiandae
Mafiiiii..Nakubaliana na wewe. Kwa misimu ijayo endapo hii tumu itakuwa maintained, Yanga akijitahidi sana kwa Simba ni droo.