captain 21 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2021 Posts 608 Reaction score 1,199 Mar 30, 2021 #1 Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari). Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha umasikini hasa kwa wahitimu wanaotoka kwenye familia duni?
Huwa najaribu kutafakari, kuongezeka kwa wahitimu hasa wa elimu ya juu ambao hawana ajira (kuajiriwa/kujiari). Kunatoa picha gani kwenye ubora wa elimu yetu kwenye kupunguza kiwango cha umasikini hasa kwa wahitimu wanaotoka kwenye familia duni?