Ubongo wenye chuki

kila ukinitajia nilikotoka ndio nafurahi kwa sababu watu watajua jinsi nlivojasiri
 

Pole sana mkuu.

Waweke kwenye "ignore list".

Usipoteze muda kwa kumchukia mtu kwasababu maisha ni mafupi sana.

Furahia maisha yako. You Only Live Once (YOLO). Hata kama kuna maisha mengine huko Mbinguni lakini haitakuwa hapa Dar Es Salaam, Tanzania.
 

asante mkuu, najitahidi sana kuwapuuza huku nikipambana haswaa.
 
Kwanza mtu anapaswa kujua,ili usonge mbele lazima uwe na maadui,hao ndio wanakufanya uwe na uchungu wa mafanikio,jinsi unavyofanikiwa ndivyo wanavyozidikuinuka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…