Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 344
alafu usikute unauwezo wa kusahau 2.4 pentabytes
VirusIv unaposahau kitu inawezkana ile kumbkmb y kwenye ubongo imefutika? Kama n ivo inakuaje mtu anasahau kitu alfu baadae anakuja kukumbuka
alafu usikute unauwezo wa kusahau 2.4 pentabytes
Wana pumba nyingi,af Kila siku wanaleta "did you know" zilezileMkuu umenikumbusha E-TV " DID YOU KNOW...PUMBA KIDOGO..."
Kusahau ni tatizo[emoji3]alafu usikute unauwezo wa kusahau 2.4 pentabytes
Natumia kuhifadhi umbea![/QUw
Most of women in Tz do tha same
umbea ni nini???Ninapenda umbea, yaani hapa ninawaza Shareef Conscious amekula nini leo?