Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

Ubongo Baada ya Kifo: Je, Bado Unawaza?

Hivi mshawahi kulala usingizi mzito then ubongo ukawa active (kuamka) lakini mwili unagoma kufanya lolote?... unataman ujigeuze ila mwili unagoma, nachoshukuru Mungu ni kwamba jambo la kwanza kukumbuka na kulifanya ni kutoa Shahada na kusoma baadhi ya sura za Quran.. hali hii hudumu si chini ya dk 5..

Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk
 
Hiki kitu kipo kilishawahi kutokea na kitu kingine ambacho mpaka Sasa nakiogopa ni issue ya NDEs
 
Sir hiyo inaitwa sleep paralysis husababishwa na ubongo wako unakua umeamka lakini mwili wako unakua bado umelala. Ingekua zamani ningekuelezea Kwa undani jinsi Rapide Eye movement inavyosababisha hili tatizo. #uzee

Sawa sometimes ni REM but, kuna scenario unaona kuna dalili za mtu au activities flan...

Je ishu ya Jinamizi? Hii ilitolew ufafanuz kwamba ukilala umeangalia juu kuna hati hati ya kukabwa na Jinamizi.. ingaw kuna sababu za kisayansi why unahis unapigwa Roba/Loki/Mnigo..
 
Huwa sio Roba ukilala juu but kisayansi unaikandamiza hypothalamus. Kichogoni huku NI sehem vulnerable ndio maana ukipagonga ni rahisi kusababisha Concussion. So unapolalia upande WA nyuma wa kichwa lazima uote vitu vibaya. Na kiimani wanasema ukilala umeelekea juu unakua umelipa mwanya jicho laki la tatu linalokaa kwenye paji la kutake over wakati macho mawili yanakua kwenye REM state.
Ndio maana mafarao wote ilikua NI lazima walale paji la USO liko juu
 
Ahsante kwa ilmu..
 
Hivi mshawahi kulala usingizi mzito then ubongo ukawa active (kuamka) lakini mwili unagoma kufanya lolote?... unataman ujigeuze ila mwili unagoma, nachoshukuru Mungu ni kwamba jambo la kwanza kukumbuka na kulifanya ni kutoa Shahada na kusoma baadhi ya sura za Quran.. hali hii hudumu si chini ya dk 5..

Na hiv karibun imekuw ikinitokea mara kw mara.. sasa sijajua kuna wadau wananipima ama vipi.. kmk
Jinamizi, ni ndoto za kawaida tu. Kama ni mara ya kwanza kuota, itakupata sana na utaizoea tu
 
Mwaka 2009 nimeshuhudia kifo cha aina yake. Kuna ndugu yangu alikufa mwili na mapigo ya moyo yalisimama kwa zaidi ya masaa mawili. Daktari alithibitisha mtu yule alikuwa tayari ameshakufa lakini cha ajabu huyo mtu alikuwa bado anakoroma.

Kwakuwa mdomo wake alikuwa hajaufunga, baadhi ya wazee walijaribu kumnywesha dawa wanazojua wao ili akome kukoroma lakini haikusaidia. Wengine walishauri paa la nyumba liezuliwe ili mtu yule apigwe na mionzi ya jua kupitia sehemu lilipoezuliwa paa ndiyo maiti yule angekoma kukoroma.
 
Habari wakuu,

Natumai wote mko salama. Leo nimekuja na mada nzito, yenye kuibua maswali mazito kichwani. Wengi wetu tunaamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, lakini je, ubongo wako unazimika papo hapo unapokata roho? Au kuna dakika, sekunde, au hata saa ambazo bado unafahamu kinachoendelea?

Kifo si Mwisho Papo Hapo?
Watafiti wamegundua jambo la kushangaza ubongo hauzimiki mara moja mtu anapokufa! Katika baadhi ya tafiti, wanasayansi wameona kuwa mawimbi ya ubongo (brain activity) yanaweza kuendelea kwa dakika kadhaa, na katika hali zingine, hata kwa saa chache.

Waliwahi kufanya utafiti kwa wagonjwa waliotangazwa kufariki, lakini kwa mshangao mkubwa, sehemu za ubongo bado zilikuwa zinaonyesha ishara za uhai. Hii ina maana gani? Je, mtu anapokufa bado anajua kinachoendelea? Je, anaweza kusikia watu wakilia, au hata kufahamu kwamba mwili wake unashughulikiwa kwa mazishi?

Ndoto ya Mwisho Kabla ya Giza? Katika baadhi ya matukio, watu waliodai kufa na kurudi (Near Death Experiences – NDEs) wamesema walihisi wakitoka nje ya miili yao, wakiangalia matukio kama roho zao zilivyokuwa zikielea. Wengine walisema waliweza kusikia madaktari wakizungumza au hata kuona miili yao bila kuwa ndani yake!

Hili linaogopesha kidogo, sio? Unaweza kufikiria jinsi inavyokuwa kushuhudia mwili wako ukihifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti, lakini huna uwezo wa kusema chochote.

Dakika za Mwisho za Ufahamu
Kuna hadithi za kushangaza za watu waliokuwa wamekufa kliniki (clinically dead) lakini bado waliweza kuelezea kile kilichokuwa kikiendelea. Katika utafiti mmoja, daktari alisema mgonjwa aliyekuwa "amekufa" aliweza kukumbuka mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika kwenye chumba cha upasuaji hata baada ya moyo wake kusimama kwa dakika kadhaa.

Wanasayansi wanadai kuwa ubongo unaweza kubaki na "mawazo" kwa muda mfupi baada ya kifo, ukijaribu kushikilia fahamu kabla giza halijatanda kabisa.

Tunakufa Mara Moja au Taratibu?
Hili ni swali gumu. Ikiwa ubongo bado unawaza kwa dakika kadhaa baada ya moyo kusimama, je, tunapaswa kusema mtu amekufa kweli wakati moyo wake unakoma, au pale ubongo unapozimika kabisa?
Kuna ushahidi unaosema kuwa seli za ubongo hufa polepole, na kuna sehemu za ubongo zinazoweza kufanya kazi kwa muda baada ya mtu kufariki. Hii inamaanisha nini kwa roho? Je, kuna uwezekano kuwa mtu bado anaweza kufahamu hata baada ya mwili wake kutangazwa kuwa umekufa?

Kifo ni Siri Nzito
Tunapofikiria kuhusu kifo, wengi hudhani ni kama switch I inayozimwa mara moja na mwisho. Lakini utafiti unaonyesha kuwa kifo ni mchakato, na kuna sehemu za akili zetu zinazoweza kubaki na uhai wa muda mfupi baada ya moyo kusimama.

Hili linatufanya tujiulize: Je, tunapokufa, tunajua tumekufa? Je, kuna uwezekano wa kupitia hofu ya kuona kila kitu kikiisha taratibu?

Naomba mawazo yenu wakuu.
Nimesoma kichwa cha habar tu nimeishia hapo
 
Back
Top Bottom