Basi sawa.Izi situmii boss
namshauri atumie diazpam au phenobarbiton kwa usingizi muruaKumbe tatizo lako ni usingizi tu..!!
Umegonga mule mule mkuu.namshauri atumie diazpam au phenobarbiton kwa usingizi murua
Kama kichwa kinavyojieleza, alinipigia simu Mara kadhaa sikuwahi kupokea, na kutuma text zisizojibiwa, sijawah kumcare ila binti anamapenz ya kwel.muda mwingi ameupoteza kwangu na alikuwa akinipa bure penzi lake,,,, nifanye nini aelewe ninampenda hata kama ametoa ujauzito?
Hili suala linanyima usingizi,,,,
Huongei nae ktk sim wala hujibu sms zake, kisingizio "uko bize", hata akikukubalia utajuajeAkinikubalia mbn ntalala , cjui ntumie mbinu gan mkuu[emoji86] [emoji86]