Ubishi wa Diamond na Ney wa Mitego

Ubishi wa Diamond na Ney wa Mitego

Ni kama lile dude lao walilolitoa mwanzo lile la Muziki Gani.... dude linabamba mpaka leo aisee
 
Mziki gani haiingii katika goma hili,nimelisikiliza jana siyo mchezo nilitamani hata uendelee kidogo...
 
Yaan nishausikiliza mara 20 na zaid .mziki gan ni mzuri ila huu umezid .sema wajipange vdeo wanaweza kuta wakaharibu kwenye video
 
Ni boooooooooooooooooonge la wazo kwa wanaoangalia muziki biashara
 
watu tunatofautiana maskio huu wimbo ni mzuri???
 
dah nimeupenda sana asa pale ney anaposema mapenzi bila pesa ni ushoga! ila nasikitika kila ngoma diamond anatishwa kupigwa
 
Sijawahi kumkubali Ney na sijui kama itakuja tokea nielewe anachoimba ata angesimama na nani.
 
Back
Top Bottom