Ubinafsi na tamaa chanzo cha mgogoro ndani ya CHADEMA

Irene Darton

Member
Joined
Feb 25, 2024
Posts
20
Reaction score
24
Wakati watumishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchi nzima wakiwa na madeni juu ya stahiki zao, Makamu wetu JOHN HECHE analipa hadi laki 5 kwa usiku mmoja kulala katika hotel za hadhi ya nyota tano ndani ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam na Dodoma. Ndio ulichosoma, siyo ndoto, ni ukweli mtupu.

GODBLESS LEMA unamfahamu? Kamanda yeye ameamua kubadili kabisa maisha yake, sasa anaishi kitajiri. Hashiriki tena jambo lolote linaloweza kumfanya akatiwa hatiani na vyombo vya dola. Kazi za chama anazozifanya ni kuhamasisha michango tu kutoka kwa diaspora na wafanyabiashara wa mkoani Arusha na Kilimanjaro, na fedha zinazopatikana hatoi ripoti yoyote, na hakuna wakumuhoji!

Kwa wasiojua, GODBLESS kila anapokanyaga ardhi ya Dar es Salaam, yeye anaishi Sea Cliff, Masaki, akilipa karibu laki 8 kwa siku. Wengine wetu baada ya kuhudhuria kesi za Mwenyekiti pale Kisutu, makamanda huwa na nauli tu ya kurudi mikoani au wengi hawawezi hata kupata sahani ya Wali pale City Square, lakini viongozi wetu wote huondoka kuelekea katika hotel za kifahari kuponda raha.

Wakati haya yote yanajiri, madai ya watumishi wa chama hayapewi kipaumbele kwa msingi kuwa chama hakina hela, huu ni ubinafsi uliopindukia. Viongozi sasa mmekuwa makatili kuliko hata CCM tunaowasema. Ni tamaa za kutaka kuishi maisha mazuri kupitia chama ndizo zimepelekea hata baadhi ya wanachama kujifanya eti wanahofia usalama wao na kwenda Nairobi ili kujipatia fedha kupitia harakati za kipuuzi ambazo hazina faida yoyote kwa chama chetu.

Mimi sio mtabiri ila nawaambia ukweli, mgogoro mpya unakuja na unakwenda kukiua chama chetu kwa sababu ukweli hauwezi kufichwa siku zote. Ipo siku wanachama wote watagundua michezo inayofanywa na viongozi wa makao makuu ya chama ya kujinufaisha wao wenyewe badala ya kukijenga chama na kumsaidia Mwenyekiti wetu kutoka gerezani. Endeleeni kuponda raha, ipo siku yenu!

Tuliovunjwa, kuumizwa na kupata kila aina ya mapigo kutokana na kufuata maelekezo yenu sasa tunaelewa kuwa Chama hiki kimekuwa kikitumika kunufaisha watu wachache, Ipo siku hamtaamini! Naipenda CHADEMA lakini nimeapa sitakubali tena UJINGA.
 
Kachukue posho yako imetoka tayari.
downloadfile-270.png
 
Tuliovunjwa, kuumizwa na kupata kila aina ya mapigo kutokana na kufuata maelekezo yenu sasa tunaelewa kuwa Chama hiki kimekuwa kikitumika kunufaisha watu wachache, Ipo siku hamtaamini! Naipenda CHADEMA lakini nimeapa sitakubali tena UJINGA.
Siku nyingine ushirikishe sehemu yako ya
ubongo inayohusika na kumbukumbu za muda mrefu kabla ya kutanguliza njaa zako na uchawa.

Wenzako wenye akili timamu wanapoleta shutuma kama hizi huwa wana ambatanisha na vielelezo vya malipo, nk. Ila wewe umekuja tu kututingishia hivyo vikalio vyako vilivyo nyauka.
 
Ila hujasema sababu ya migogoro ndani ya chama chakavu!
 
hebu chukua nafasi ya lema ujipeleke ukamatwe na polisi uweke gerezani kama ni sifa sana,lissu mwenyewe si mmemuacha afie gerezani,mnapensa kuona watu wanateseka hiyo sio siasa
 
Hizi ndio product za kile chuo cha uongozi cha ccm. Upuuzi wa aina hii huko ccm ndio unaitwa kuiva kisiasa!
 
Nenda kamwambie mama yenu huko ccm akulipie na wewe hotel ya laki tano.
 
Ulitaka akalale tandika mje wahuni wa buza mumchukue?? Au ulitaka akalale ofisini kwenu machawa?? Mbona hujatuelekeza familia yake wanauwezo gani kipesa umekuja kulia upumbavu tu, hujaongelea kuhusu biashara na uwekezaji wake. Sijawahi kumjia juu mtu hapa jukwaani kuhusu mambo ya siasa direct kama hivi, lakini unakela mbwa wewe. Waambieni mbwa wenzako mjifunze namna ya kubana vikojoleo visitoe kimiminika. PUMBAAVU
 
Tuliovunjwa, kuumizwa na kupata kila aina ya mapigo kutokana na kufuata maelekezo yenu sasa tunaelewa kuwa Chama hiki kimekuwa kikitumika kunufaisha watu wachache, Ipo siku hamtaamini! Naipenda CHADEMA lakini nimeapa sitakubali tena UJINGA.
Wewe ni Mwashambwa 'Bwege' mwingine?

Unapoteza muda wote huu kuandika takataka humu zinakusaidia kitu gani?

Shibe ya masalia ya Samia mhalifu ndiyo inayokuhangaisha kiasi hiki humu JF?

'Irene Darton' kikaratasi kingine cha kutumiwa chooni kwa Samia.

Hopeless Kabisa.
 
Back
Top Bottom