0738393966
Member
- Oct 8, 2018
- 12
- 2
Wanawake wa kileo wanapenda kujimilikisha vitu kikiwa cha huna nafasi kukitumia ila kile chako anakitaka kwa nguvu zote sijui kipi kinawasibu.
Heee hatariMy brother huna mwanamke hapo Bali una professional business selfish woman
Sio wote,ukiona hivyo jua umepotea njia