Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Tobaaaaaasa umeliwa na mwanaume mmoja huyo huyo akakuowa kweli we unaona hiyo ni sawa kingine hujiulizi kwann hukuwa na bikra? mi nafikiri ulikuwa na mahusiano na watu waishio huko baharini...
nina watoto hiki ni kitu cha mda mrefu kidogolabda bikra yako alipewa mariamu ndo akamzaa yesu ww jiandae kuzaa shetani maana utazaa bila kuwa na bikra
We bana wewe.....Leo nimeamua kujiripua aseee!Ni hivi sijawahi kuona bikira wala kusikia maumivu yake.
Tiririka nami.
Mimi ni msichana mzuri tu niliyelelewa kwenye maadili, sio maadili tu nadhani pia ni aina ya mtoto aliyestaarabika, Ukiachana na kustaarabika nilikuwa na akili pia darasani(kwa wale walosoma vijijini kipindi hiko kijijini mnafaulu wawili watatu basi nikajiunga secondary)
Kiufupi ni kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi mpaka namaliza masomo ya A level (changamoto zilikuwepo ukizingatia kule kwetu wanapenda rangi nyeupe lakini nilitaka nisome nimtoe mama yangu kwenye umaskini uliokithiri niliamini elimu tu ndo ingemaliza shida zote.(ningekuwa na wenge basi hata baada ya kumaliza sekondari ningeolewa make waoaji walikuwa wengi na hapa ndo huwa nasema kuna watu Mungu alishawachagua tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.
Baada ya kumaliza form six sasa hapo kidogo niliamua kumkubali mtu alieleta nia ya kunioa sikuwa serious nilitimiza wajibu tu ila mi nilikuwa nawaza shule, ikumbukwe zamani mtu alikuwa akinitongoza namuona kama adui yangu asiyetaka nisome shule basi tukaenda hivyo hivyo akataka aanze process za kunioa nkamuwekea vikwazo mpaka akashindwa mwenyewe.
Nikaingia chuo sasa mambo ya mahusiano yalizaliwa huko kwa kuwa ni mtu wa dini nkamwambia Mungu basi kama kweli ndiye niruhusu nianze naye mahusiano basi nikakubali yale mazoea na ushawishi wake nkakubali kumpa tunda.
Sasa kiini cha mada ndo hiki, maandalizi ya kutoa tunda kwa hyu mwanamme yakaanza nikaandaa na pedi make nilishagoogle huko opera na nilikuwa mwoga hatari mara story za unaumia mara unafanyeje
siku yenyewe ilipofika mkunyenge uliingia bila shida yaani sikuona cha damu wala tone wala maumivu mmh, akauliza we si ulisema hujawahi kutana na mwanamme nkasema ndio akawa dissapointed hata mimi nilipata shida make sio kitu nilichokitegemea, lakini baada ya siku mbili akasema usiwe na shida naye hakuwa na mambo mengi nadhani pia kwakuwa nilikuwa mtu anayejiheshimu labda alisema ni kweli, mahusiano yetu yaliendelea kwa kipindi cha miaka saba mpaka tukaja kuoana.
Baada ya kusoma soma habari nkakubali kwamba uenda ilipotea kutokana na kazi ngumu na pia nilikuwa naendesha baiskeli, kwa hiyo jamani sijui mambo ya bikra.
Ndoa yangu imekuwa nzuri sana na yenye amani nami nilikuwa sijui hata staili lakini nilipambana nikawa fundi babayeyo naona hachomoi, nami sitakuja kuchepuka kamwe.
Samahani kwa uandishi mbovu kama swali nitajibu ila natumia app ya zamani ko naweza hata nisionekane app mpya imenishinda.
ahsante mkuu mi bila kuwa mtu wa kujisomea vitu mtandaoni basi hii kitu ingeniathiri kisaikolojia maana ilinichukua mda kuamini kwamba nilipata hali ile ksa hiyo baada ya kuwa nimepitia makala mbalimbali basi nikajipa matumaini kwamba huenda ilikuwa vileNadhani hii ni kwa wanaume zaidi ndo tutakaoelewa,kwamba ”siyo kila bikra lazima ziwepo ishara za damu”
Binafsi hata mimi imenisaidia kuujua ukweli ni jambo liliwahi kunikuta.
aumbile hayana uhusiano na experience niliyoipataHuyu bidada eitha mwanaume ana kibamia...
Ila hujawahi kutana na mwanaune alafu ukutane na kombora lenye Nuclear Ahead hahahahah lazima maji uite mmmaa
ahsante kiukweli nisingekuwa mtu wa kujisomea makala mbalimbali basi ingeniathiri kisaikolojia ukizingatia mi sio mtu wa kuongea mambo binafsi,sijawahi mwambia mtu yeyoteYeah,Kuna watu husema Ivo pia...kuwa hawakutokwa na damu
Tunong'onenezee jirani....Na kingine nilichowaza sikisemi
ndo maana nimeamua kuleta hii ishu inawezekana kuna wenzangu humuBikra hii nayoijua mim
Mhhh haya bn
ndo maana mnatakiwa kujifunza vitu vipya,maana hata mi siku ile nilitamani hivyo kwanza nshafanya maandalizi na pedi nilinunua kabisaHuyu mwenzetu iliingia bila kugoma.
Kuna bikra kweli damu haitoki.
Okmaumbile yangu sio makubwa lakini sasa sikusikia maumivu yaani ni tofauti na nilivojiandaa
mawazo mgandoNi dume limejifanya jike! Nimepatia?
kumbuka mtu umeshajiandaa nadhani unaweza kuimagine hali iliyokuwepo mi nachokumbuka mzigo uliingia akapump mara moja akashindwa,nadhani ni yale mategemeo ya bikra,nikizungumzia kwa uzoefu wa sasa maumbile yangu yako sawa yaani yanatight,maumbile kutight hayahusiani na maumivuHa haaa sikuwa nawaza hivyo but hilo linawezekana pia. Mimi niliwaza labda aliwahi kuingiliwa utotoni akatolewa bikra na sehemu zikatanuka. Maana kasema iliteleza bila kukwama
sawaNikitu hakipogi ni maigiZo ya bongo
sijajua kwakweli kwa kuwa maisha yanaenda vizuri nimeamua kushare kwa sababu sikuwahi kumwambia mtu,Umeumbwa tofauti labda
Pole sana Mpendwa, inabidi nikutizame kwa jicho la 3 ili ufarijike MamaUsinikumbushe machungu
ninachojiuliza inamaana ikikutoa hizo damu hazionekani?maana mara ya kwanza kuona damu ni period ambazo sijatia shaka maana ni regularBikira huweza kutolewa na baiskeli au kazi ngumu...
Hebu sema kiti cha baiskeli kinafaidi sana...
mi kwakweli sexual drives sikuwa nazo kusema eti madole hapanaHiii kitu imewahi leta utata kidogo, Kuna dada alinambia ni bikira hajawahi kabisa kufanya, Cha ajabu ilipita yote bila pingamizi, Hadi mwenyewe akawa anashangaaa!
Japo baadaye alikiri kuwa alikuwa anajichezea na vidole eti!
Yote Kwa yote ukwelii wa bikira zenu mnaujua wenyewe