UBER

UBER

Real deal94

New Member
Joined
Sep 25, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Habari za mda huu wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 24 memamliza chuo cha Usimamizi wa fedha baada ya kuangaika sana kutafuta ajira na kushindwa kupata hata intern imenibid nije mbele yenu kutafuta boss mwenye gari anayetafuta dereva wa uber na taxify maana mtaani tunaangamia nina license class c ya kuendeshea tax na account ya uber na taxify ninazo tayari naombeni msaada wenu kwa mawasiliano na ushauri 0657142447
 
Back
Top Bottom