B Ben golden Member Joined May 12, 2025 Posts 16 Reaction score 6 Jun 29, 2025 #1 Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,694 Reaction score 3,598 Jun 30, 2025 #2 Siku hizi Kuna kampuni zinakopesha pikipiki na bajaji, Hivi kwanini wasikopeshe na magari ili WATU tujikwamue
Siku hizi Kuna kampuni zinakopesha pikipiki na bajaji, Hivi kwanini wasikopeshe na magari ili WATU tujikwamue